Étiquette : dailyprompt-2096
-
#UCHAGUZI 2023.
Aja ya wa kongomani ! Itakuwa kweli raha kwetu sisi wana inchi ya Congo kumupa raïs wetu madaraka ya kuongonza inchi Mungu aliyo tupa. Tangu ma babu zetu inchi hii ili shambuliwa na wanyanganyi kwa kuleta mauwaji na matengano katikati yetu, Ila neema ya Mungu ilifanya kazi kwetu. M Muheshimiwa Docteur OMBENI BALAGULA ELISHA Raïs…
-
Politique
Sur quoi avez-vous travaillé ? La vie n’est jamais été facile aux paresseux Chama kubwa ya siasa FNRC ina waalika wa kaaji wote wa nchini RDC kumuunga kiongozi wao mkurungenzi bwana Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika ugombezi huu unao andaliwa na bwana Denis kadima kama kiongozi wa CENI. Muheshimiwa Docteur OMBENI BALAGULA ELISHA alikubali ku msindikiza…