Sur quoi avez-vous travaillé ?
La vie n’est jamais été facile aux paresseux
Chama kubwa ya siasa FNRC ina waalika wa kaaji wote wa nchini RDC kumuunga kiongozi wao mkurungenzi bwana Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika ugombezi huu unao andaliwa na bwana Denis kadima kama kiongozi wa CENI.
Muheshimiwa Docteur OMBENI BALAGULA ELISHA alikubali ku msindikiza raïs wao. Ameweka makubaliano ya uunguno wa umoja inayo itwa Union Sacrée de la Nation kwa kifupi USB.